Sisi ni Nani?
Zanzibar International Christian Center ni kanisa la Kipentekoste lililoko Zanzibar, chini ya usimamizi wa Tanzania Assemblies of God (TAG). Kanisa hili linapatikana katika kisiwa kizuri cha Zanzibar, nchini Tanzania.
Makao Makuu
Makao Makuu ya kanisa letu yapo Kariokoo, Unguja, Mjini, Zanzibar, Tanzania na huduma zetu zote zinatolewa hapo
ZICC Digital
Sasa tuna mfumo wa kidigitali uitwao ZICC Digital, ili kuweza kuingia kwenye mfumo wetu tafadhali Bofya Hapa